Mwanafalsafa

  • HOME
Home → Semua Post Berkategori Entertainments
Showing posts with label Entertainments. Show all posts
Showing posts with label Entertainments. Show all posts

Sauti na Melody zinazojirudiarudia kwa wasanii Ambao Hata Watoe Nyimbo Unajua tu Hamna Kipya,

00:32




1.Roma Mkatoliki,..beats zake karibia zote sawa,nyimbo zake zote ujumbe sawa(harakati)

2.Izzo Bizness yaanii huyu beats zinafanana kila wimbo,mfano chorus ya wimbo mmoja unaweza kuimbia nyimbo zake
zote bila tabu.

3.AY,huyu ndo hana kipya style ile ile,mfano video ya leo na nyimbo baada ya hapo kitu kile kile hamna kipya.

4.Tuda man,huyu hata huwezi kujua analia au anaimba,iwe wimbo wa starehe kama analia tu.

5.Stamina (huyu atachokwa mda si mrefu anadhani misamiati ndo kuwashika watu

6.Young Killer asipoimba bongo fleva hatadumu.

7.Linex nyimbo zake hamna tofauti,kinachomfanya asikike ujumbe wa nyimbo zake.

8.Ben Pol huyu naye hana kipya

9. Jaquar wa Kenya Naye Balaa Nyimbo zake zote zinafanana

10. Bob Junior Mzee wa Kulia kulia kila nyimbo




Welu Sengo adaka ujauzito wa msanii mwenzake.

02:13





http://i.ytimg.com/vi/Tl-PJ4wOfrA/maxresdefault.jpg
IMEVUJA! Msanii wa filamu Bongo, Wellu Sengo, ‘Matilda’, licha ya kuwa na mtoto mdogo ambaye hajafikisha hata mwaka, inadaiwa tayari amenasa ujauzito mwingine.Chanzo makini kinaeleza kuwa ujauzito huo ni wa mmoja wa wasanii wenye majina maarufu hapa nchini, ambao wamekuwa katika uhusiano kwa muda mrefu sasa.
Katika mawasiliano kwa njia ya simu, Wellu baada ya kubabaika, alikiri kuwa na ujauzito na kumtaja msanii huyo kama ndiye mwenye mzigo, lakini jina lake linahifadhiwa kwa sasa kwa vile mwenyewe hakupatikana ili kuzungumzia madai hayo.
“Haa, wewe nani kakuambia habari hizi, lakini aah, ni kweli bwana nina ujauzito na mwenyewe ni (anamtaja jina). Si unajua tena mambo ya kawaida haya,” alisema muigizaji huyo.
Msanii huyo anayetajwa kuhusika na jambo hilo, ambaye hata hivyo ni mume wa mtu, amekuwa akionekana kuwa Wellu karibu katika maeneo mengi ya starehe na kijamii akiwa. Baadhi ya wasanii wamekuwa wakimdhihaki mwanaume huyo kwa kumuona kuwa haendani kimuonekano na mwanadada huyo.







Je . . . ., Kushiriki tendo la ndoa  ni hobi ya mtu ?

Je . . . ., Kushiriki tendo la ndoa ni hobi ya mtu ?

02:10







Mara kwa mara utakuwa umekutana na marafiki wanaozungumza maneno mengi kuhusu ngono. Baadhi wanapozungumza, wanaonyesha wazi kutopendezwa na hali yao ya kupenda ngono kupita kiasi, lakini wengine huongea kwa kujisifu kwa vile ni mahodari wa kushiriki tendo lile.
Wanaojisifu, ndiyo hawa huja na kauli kuwa wao hobi yao ni mapenzi. Neno hili, hobi, ni la kiingereza linalomaanisha kitu ambacho mtu anakipenda. Mtu atasema hobi yake ni kusoma, mwingine michezo au muziki na kadhalika. Kila mmoja anacho akipendacho, yaani akikipata hicho, roho yake inakuwa raha burudani.
Katika siku za hivi karibuni nimeshuhudia mastaa wawili wakizungumzia ngono, ambao ni Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Baby Madaha. Lulu alisema ngono zimekuwa zikimtesa kiasi kwamba kila mara hujikuta katika hali ya kutaka kufanya mapenzi, kitu ambacho mwenyewe anaamini ana jini mahaba.
Kwa upande wake, Baby Madaha yeye anakuja live kabisa akidai kwamba, kwake yeye, kufanya mapenzi ni hobi yake, yaani ndicho kitu anachokipenda kuliko vitu vingine vyote duniani, yaani kwake yeye, kushiriki tendo akiwa na mwenzi wake ndo faraja yake.
Wazungu wana msemo wao mmoja maarufu unaosema too much of anything is harmful, kwa tafsiri isiyo rasmi ni kwamba kitu chochote ukikizidisha, kitakupatia madhara.
Kushiriki tendo la ndoa ni kitu kinachofurahiwa na wengi, wake kwa waume, ingawa kila mmoja ana aina ya ufurahiaji wake. Wapo wanaozidisha ufanyaji wa tendo hili kutokana na sababu mbalimbali. Kuna wanaofanya hivi ili kujipatia kipato. Anakesha usiku kucha akibadilisha wanaume kwa ajili ya kipato.
Lakini wapo ambao wanapenda kushiriki tendo kwa sababu ya raha tu na siyo kingine. Kwa wote wenye aina hii ya mahitaji, wanaambiwa kuwa wana pepo la ngono!Sisemi kuhusu machangudoa, kwa sababu wote tunajua kuwa hawa wanafanya hivi ili kupata hela, nazungumza na wanawake na wanaume ambao muda wote wanawaza ngono na hata wakifanya hawaridhiki. Anatoka kuchepuka sehemu, lakini anapopanda kwenye daladala macho yake yanavutiwa na mwanamke mwingine na yupo tayari kumtongoza na kulazimisha kwenda naye muda uleule.
Ukimuona mtu wa aina hii, ni wa kumsaidia kwa sababu huo ni ugonjwa. Binadamu anao uwezo mkubwa wa kuhimili hisia za mapenzi yake. Wale waliooa au kuolewa wanaweza kuwa mashahidi wazuri wa hili. Unaweza kukuta wanandoa wanakaa hata wiki mbili bila kukutana, ingawa wanalala kitanda kimoja.
Tendo la ndoa ni kitu cha afya. Mwili hujiweka vizuri zaidi kwa ushiriki wake, lakini unapozidisha dozi, ni tatizo. Ugonjwa huu unatibika, nenda hospitali, onana na daktari bingwa wa saikolojia, atakueleza kwa nini unakuwa hivyo ulivyo na nini suluhisho la kudumu.





Weekend kuanza mwakampya tar 01-01-2015 siku ya Alhamisi kwa wiki hii.

01:48







Ni furaha iliyoje kuwa home tena jamani... Hakuna mahali pazuri kama Bongo japo wenyewe hatujui... Anyway, Noeli ndo hiyo inanukia... Kirungu mipango ya Igo Bar inaendeleaje? Tunakutana lini au umeshakwenda kijijini kula sikukuu? Who is still in Dar? Asanteni sana wadau wote... Nitashusha Bongo materials next week nikitulia






Tabia mbaya

01:43










Her name is Cherotich Carren Kiki and word has it on the street that they may soon walk down the aisle. Meanwhile here are her photos:

00:42






 





Binti huyu wa chuo aachia picha za utupu tena

Binti huyu wa chuo aachia picha za utupu tena

00:34





Denti wa chuo kimoja jijini Dar, anayefahamika kwa jina moja la Martha, amepiga picha akiwa mtupu katika nyumba moja ya kulala wageni iliyopo Tabata, ambako alikwenda akiwa na nguo za shule, tukio linalodaiwa kutokea hivi karibuni.

Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, picha hizo ziliwekwa katika mtandao mmoja wa kijamii makusudi na bwana’ke, anayedaiwa kuwa ndiye aliyempiga kwa ridhaa yake mwenyewe kabla ya kukorofishana.

 

Inadaiwa kuwa picha hizo ambazo zimekuwa zikisambaa kwa kasi katika blogs karibu zote nchini, hatimaye zilimfikia msichana huyo anayedaiwa kuishi Tabata, ambaye kwa aibu, alimtumia msichana mwingine.Baada ya Martha kumtumia msichana huyo aliyejitambulisha kwa jina la Lilian aliyedai kuwa ni dada yake, akimlaumu mmiliki wa mtandao kwa kuzirusha picha za mdogo wake bila kuuliza zilikotoka.
Gazeti hili linayo majibishano yaliyorekodiwa kati ya dada na mmiliki huyo, ambako Lilian alitishia kulipeleka suala hilo katika vyombo vya sheria, tishio ambalo lilikebehiwa.

“Usitutishe, hizi picha kazipiga mwenyewe kwa pozi tofauti, unataka sisi tufanyaje na aliyempiga ni bwana’ke, kwanza huu ni ulimbukeni na tunazisambaza makusudi ili liwe funzo kwa wengine wanaofanya ujinga huu,” alisema mmiliki huyo.

Kutokana na aibu aliyoipata msichana huyo, taarifa kutoka chuoni kwao, zinasema akiwa na hofu ya picha hizo kuwafikia walimu na hivyo kuharibu sifa yake, amekuwa akiwaambia marafiki zake kuwa anafikiria kuhama.




KIMENUKA! Msanii wa filamu, Chuchu Hans ambaye ni mpenzi wa wa nguli wa filamu Bongo, Vicent Kigosi ‘Ray’, amecharuka ishu ya kumsaliti mpenzi wake huyo na jamaa anayedaiwa kuwa ni mfanyabiashara anayeishi maeneo ya Mbezi Beach Dar.

KIMENUKA! Msanii wa filamu, Chuchu Hans ambaye ni mpenzi wa wa nguli wa filamu Bongo, Vicent Kigosi ‘Ray’, amecharuka ishu ya kumsaliti mpenzi wake huyo na jamaa anayedaiwa kuwa ni mfanyabiashara anayeishi maeneo ya Mbezi Beach Dar.

00:28




KIMENUKA! Msanii wa filamu, Chuchu Hans ambaye ni mpenzi wa wa nguli wa filamu Bongo, Vicent Kigosi ‘Ray’, amecharuka ishu ya kumsaliti mpenzi wake huyo na jamaa anayedaiwa kuwa ni mfanyabiashara anayeishi maeneo ya Mbezi Beach Dar.

Chanzo kinasema pamoja na Chuchu kuwa na Ray kwa muda wote, lakini inadaiwa kuwa muda fulani amekuwa akitoka na kwenda Mbezi anapoishi kijana huyo.
CHUCHUNARAY

Hata hivyo paparazi wetu aliamua kumvutia waya Chuchu na kuzungumza naye ishu hiyo ambapo alidai stori hizo zinasambazwa na watu ambao lengo ni kutaka kumchafua kwa mpenzi wake Ray.

“Watu hawapendi kuniona natoka na Ray na ni hao ndiyo wanaotumia muda mwingi kutaka kutuvuruga. Siwezi kufanya hivi na huyo jamaa sijui wa Mbezi kwanza simfahamu na pili jamii haitanielewa nikifanya hivi,” alisema Chuchu.





Hakika Diamond hata kuja kuacha kumfuatafuata Wema, Cheki madongo aliyomporomoshea wema.

Hakika Diamond hata kuja kuacha kumfuatafuata Wema, Cheki madongo aliyomporomoshea wema.

23:34






Kupitia mtandao wa Instagram Mkali wa Nyimbo ya Number One na pia Ntampata wapi, Diamond Platnumz ameandika ujumbe mzito ambao mashabaki wengi wanadhani ni ujumbe kwenda kwa mpenzi wake wa zamani Beautiful Onyinye, Wema Sepetu licha ya kwamba mkali huyo alikua anampa promo msanii shilole kwani hata picha ilikua inajieleza. Kuachana kwa Diamond na Wema kumetengeneza makundi tofauti tofauti kwenye mitandao ya Kijamii kiasi yakwamba wawili hao wakiandika chochote basi hudhaniwa/huchukuliwa kama kijembe





Mrembo huyu anatua jijini Dar es Salaam, jana Jumatatu

23:23







Mashabiki wa muungano wa pamoja kati ya mshindi wa Big Brother Hotshots, Idris Sultan na swahiba wake Samantha wa Afrika Kusini watawaona tena wakiwa pamoja kuanzia leo

Mrembo huyo anatarajiwa kutua jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu. Awali alikuwa atue jana Jumapili  lakini alichelewa ndege.

Idris alijishindia dola $300,000 ambazo ni takriban shilingi milioni 514.





Mrembo akikatisha mitaani akiwa na bonge la kapelo

04:15









AJIITA KIJANA MWENYE BAHATI AKIWA KATIKATI YA WAREMBO WAWILI

03:08











Cursed Generation, See how these woman is spurted

03:06









Hot woman of the day !!! Look at these cute pics

Hot woman of the day !!! Look at these cute pics

03:04











Ona kilichotokea baada ya mwanamke huyu kuamka mapema asubuhi

03:02




                            

Some ladies just know how to shake it, the lady in the video below is one of them and she has been giving men sleepless nights with her s3ductive dance moves. This video has been online for quite some time but men keep asking for more. See her doing it; *The LINK>>>>* *The Kenyan DAILY POST*





HIVI NDIVYO IRINE UWOYA ALIVYO UPAMBA UKURASA WAKE WA VIBE.COM, NI SHEEDAH TAZAMA PICHA HIZI(18+)

01:10






Jarida  la  maswala ya burudani, liitwalo Vibe Tz  lililotoka hivi karibuni,limepambwa kwa picha za muigizaji  wa filamu hapa Bongo, Irene Uwoya amabe ni mrembo aliebarikiwa suru na umbo matata bila kusahau rangi yake,kitu ambacho huwafanya vidume wengi kupagawa na kuwa na mashabiki wengi wa kazi zake mbali nakipaji chake katika sanaa.

Japokuwa kuwa kwasasa ni mama wa mtoto mmoja , Uwoya amefanya kile kinaitwa siku hizi –KU-BREAK THE INTERNET, kwenye picha alizopigwa na jarida hilo.
Irene ametokelezea kwenye kurasa za mbele  yani “Cover Pages” akiwa mavalia mavazi ya ufukweni za rangi nyeusi na nyeupe, moja akiwa anatazama mbele na nyingine akitupa mgongo. Vivazi hivyo vimefanya sehemu kubwa ya mwili wake kuonekana na watu kuweza kujionea uumbaji wa alieviumba. Pia picha zingine zimeonekana kwenye kurasa za kati za jarida hilo akiwa katikati mapozi tofauti tofauti. Hakika Bidada AMETULIA…







Starehe kwanza , mengine baadae by Tamrina

01:04





https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgjbKmGZXolVFE9fxhOI5u44V6XNqoPDQridK9CKBF4MyEHHwrRqwwLwgHGg1AUllqFU6u_rogOyHHAxVkzeOM0uCN_PJJHCTbHBK7gZcVBG1kQnjwxPrQSD69n2FqKYqz7ABfTSAu360FM/s1600/199451_356859541067694_913345479_n.jpg “Jamani niacheni na mavazi yangu, ukifika muda nitarejea naona mnanisema sana, kama wewe Mungu amekujalia kusali, mshukuru mimi muda huo bado haujafika,” alisema Amanda ambaye wakati huo alikuwa ametupia kivazi kilichomuacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake hasa tumboni.








Pingamizi la Quick Rocka

Pingamizi la Quick Rocka

00:56







Quick Rocka amekanusha kuwa na Uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa filamu, Kajala Akizungumza na 255 ya XXL, Clouds FM, Quick amesema ana girlfriend hivyo uvumi huo unaweza ukamharibia uhusiano wake.“Nasema hapana Kajala mimi sister yangu, tunafanya naye kazi na nimeunganishwa na Lamata. Lamata ni director ninayemmfahamu zamani kidogo kipindi kile tunafanya ‘Mbwa Mwitu’ tulikuwa wote, Lamatah, Hemedy! Unajua mnavyofanya movie ni tofauti na kufanya video, kwa mfano wakati tunafanya ile movie ya Wolper, tulikaa Magomeni kambini ili kujenga chemistry. Unajua mnapoigiza kuna vitu lazima viendane. Sisi ni kambi moja inabidi mchongo tuufanikishe,” alisema rapper huyo. “I have a girlfriend, anavyosikia hivi vitu mimi kwa upande mmoja inaniharibia na sijui yeye pia ana mtu wake huko kwahiyo tuna wazazi, tuna watu wetu wa karibu ambao wanatuangalia, watu ambao wametupenda na wametuamini hivyo halafu wakija kusikia mambo haya kwenye media wataona kumbe huwa hamfanyi kazi, wao wanachukulia serious. Sio vitu vya kweli.





Former Youth Fund CEO, Evans Gor Semalang’o, Look at these cute pics.

00:36






Former Youth Fund CEO, Evans Gor Semalang’o, claims that former Prime Minister Raila Odinga may have gone mad after he said that he had given Luo Elders 3 days to decide whether he will contest for the Homabay Senate seat in the forth-coming by-election. Gor claims that Raila will taint his image and lose his huge political following if he joins the race to succeed the late Otieno Kajwang. Below is what he had to say via social media ; *The Kenyan DAILY POST*





Bibi huyu adhihirisha kauli ile ya Uhuru Kenyatta kwamba usalama uanza na wewe.Ona alicho kifanya hapa

00:35











Older Posts
Home
Subscribe to: Posts (Atom)

HABARI ZILIZO BAMBA TOP 10

  • BRAZIL TO EDGE OUT GERMANY IN WORLD CUP SEMI FINAL
  • KAULI YA UHURU KWENYE MTANDAOWA KIJAMII (TWITTER) KENYATTA HII HAPA
    Taarifa ya mahakama ya ICC, kutupilia mbali kesi dhidi ya Uhuru Kenyatta, imepokelwa na watu wengi nchini Kenya kwa hisia mseto. Baadhi w...
  • Catalonia's regional president Artur Mas says an official referendum is needed following Catalonia vote: 80% back independence - officials
    \ An informal vote on independence for Catalonia has shown more than 80% in favour, officials say. The non-binding vote went ahead after ...
  • Ukistaajabu ya Mussa ?Nusu ya sura yake inafanana na binadamu na Nusu nyingine inafanana na CHURA, ni mtoto aliye zaliwa huko dodoma
    MKAZI  wa kijiji cha Chibwechangula –Behelo katika wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Ruth Matonya (26) amejifungua mtoto wa ajabu ambaye nus...
  • MASKINI MSUSI WA NYWELE AKUTWA AMEKUFA GESTI ,FUATILIA KUJUA ZAIDI
    Askari polisi pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali ya mtaa kata ya Gongoni manispaa ya Tabora akiangalia mwili wa mwanaume ...
  • Kafulila ampendekeza Dk.slaa kuwa mgombea urais UKAWA, Gazeti la mwananchi leo juma tatu
  • In long, dimly lit hallways, clusters of people wait anxiously outside courtrooms for their cases to come before a judge.
    The New York Immigration Court is an extraordinarily busy place. In long, dimly lit hallways, clusters of people wait anxiously outside co...
  • ZITHO "SHARTI MOJA , NARYDI CHADEMA"
    MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), amesema kuwa mwanasiasa yeyote makini kutoka vyama vya upinzani mwenye dhamira ya ku...
  • The New York clinic where Joan Rivers suffered a cardiac arrest during a medical procedure failed to follow standard protocols while treating her.Clinic cited for multiple failings
    Joan Rivers had been sedated during the procedure examining the back of her throat The comedian died on 4 September, aged 81,...
  • IT 'S MATTER OF FEW MINUTES FOR WORLD CUP 2014 START SHINNING !!!!
    The World Cup  The 2014  Brazil™ is now just a matter of minutes away and to mark the occasion FIFA have launched an updated version of th...

LABELS

  • Breaking News
  • condolonces
  • Entertainment
  • Entertainments
  • Habari
  • Majonzi
  • Michezo
  • News
  • News and Updates
  • Skendo
  • Sports and Games
Submit ExpressSEO Services & Tools

Total Pageviews

Copyright 2014 Mwanafalsafa
Template By Ridwan Hex And Game Gratis