Mashabiki wa muungano wa pamoja kati ya mshindi wa Big Brother Hotshots, Idris Sultan na swahiba wake Samantha wa Afrika Kusini watawaona tena wakiwa pamoja kuanzia leo
Mrembo huyo anatarajiwa kutua jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu. Awali alikuwa atue jana Jumapili lakini alichelewa ndege.
Idris alijishindia dola $300,000 ambazo ni takriban shilingi milioni 514.