Mwanafalsafa

  • HOME
Home → Habari → Mwanasheria mkuu wa serikali nchini Mexico, Jesus Murillo Karam,ametoa ahadi kuwa hakutakuwa na uonevu wowote katika kesi ya kupotea kwa wanafunzi nchi humo miezi miwili iliyopita

Mwanasheria mkuu wa serikali nchini Mexico, Jesus Murillo Karam,ametoa ahadi kuwa hakutakuwa na uonevu wowote katika kesi ya kupotea kwa wanafunzi nchi humo miezi miwili iliyopita

Habari
Monday, 8 December 2014












.
Kutoweka kwa wanafunzi hao kumesababisha maandamano ya wiki kadhaa nchini humo waandamanaji wakipinda rushwa na ukatili uliozunguuka kesi hiyo.
Bwana Karam amesema kwamba uchunguzi wa kusaka walikopotelea wanafunzi hao unaendelea mpaka hapo wahusika wa tukio hilo watakapokamatwa.
Zaidi ya hayo amethibitisha mwili wa mmoja kati ya wanafunzi hao arobaini na tatu kuwa umetambuliwa kuwa ni wa Alexander Mora,mwili uliogunduliwa katika jaa la taka katika jimbo la Guerrero.
Mwanasheria mkuu huyo wachunguzi mahiri wa miili kutoka nchini Austria wakiunganisha mifupa kwa kuifananisha na kipimo cha vinasaba vya ndugu wa marehemu huyo9,ndipo walipoutambua.






Share this article :
Tweet
✚
Newer Post
Older Post
Home

HABARI ZILIZO BAMBA TOP 10

  • MAREKANI YAITUPIA LAWAMA KOREA KASKAZINI
    Marekani inatarajia kuirudisha Korea kaskazini katika orodha ya nchi zinazofadhili ugaidi. Rais Barack Obama wa Marekani amesema utawala ...

LABELS

  • Breaking News
  • condolonces
  • Entertainment
  • Entertainments
  • Habari
  • Majonzi
  • Michezo
  • News
  • News and Updates
  • Skendo
  • Sports and Games
Submit ExpressSEO Services & Tools

Total Pageviews

Copyright 2014 Mwanafalsafa
Template By Ridwan Hex And Game Gratis