Mwanamke
mmoja ambaye jina lake kamili ni Sarah Simirayi amelazimishwa kufanya
mapenzi na mumewe ikiwa ni adhabu ya kumkimbia mumewe ambaye alikuwa tayari kafariki ,ambapo alikuwa
amehifadhiwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti yaani mochwari.
Sarah
ambaye kipindi cha nyuma alimwacha mumewe baada ya kupata mpenzi wake
mpya, ila baada ya mabo kuharika sarah aliamua kurudi kwa mumewe lakin
kutoka na uzee alikuwa nao alifariki ghafla akiwa na miaka 68.
Mwanamke
huyo ambae ni raia kutoka Zimbabwe, mumewe baada ya kufariki aliacha
wosia ambao alitaka usomwe kabla hajazikwa amabapo ndani yake kulikuwa
kuna maneno yenye huzuni kubwa aliyoyandika mwanaume enzi za uhai wake
ambapo moja kati ya sababu aliyoitaja alisema
"Hata nikifa kesho
mke wangu ndie aliniua kutokana na kuniumiza kwenye mapenzi, hivyo
akirudi naomba aje afanye mapenzi mara ya mwisho na mim kabla sijazikwa"
Baada
ya sarah kusikia hivyoa aligoma kabisa kutokana na kwamba mumewe
alikuwa tayari amesha kufa haelewi kinachoendelea huku duniani lakin
baada kutokana shinikizo la ndugu wa marehemu mwanamke huyo alikubali
kufanya mapenzi na marehemu mume wake.