Katika Kipindi chake cha Diary of Lady Jay Dee Mwanamuziki Huyo Maarufu
ameonekana akiwa kwa Mpiga Ramli wa Kihindi Ambae alikuwa anamtabiria
Mambo mbali mbali ya maisha yake katika mwaka huu mpya 2015
Baadhi ya vitu alivyotabiriwa ni hivi :
Anatarajiwa kufunga NDOA 2017 , Atapata Pesa Nyingi sana Mwaka huu ila
zikisimamiwa na Mwanaume , Pia Kuna Dalili ya kupata Mtoto Kubwa tu ! so
ni swala la Muda tu Mpo ??