katika ukurasa wake wa mtandao wa
Instagram. Balotelli 24, mwenye matukio mengi ya utukutu, haraka alifuta
picha hiyo iliyokuwa kwenye ukurasa wake wa Instagram.
“naomba radhi kwa yoyote aliekwazika. Nilifikiri kuwa ilikua ni ucheshi na sio ubaguzi ,sikujua kama inaweza kuwa na athari”.
Sakata
hili la Balotelli limempelekea kocha wa Arsenal Wenger kuzungumza na
kusema wachezaji wanapaswa kujichunga kwa kile wanachoweka kwenye
mitandao ya kijamii
“Tunaweza kuwachunga na hatari ila hatuwezi
kuwachunga wachezaji saa 24 za siku,wanawajibu wa kujichunga na nakuwa
makini kwa kile wanachoandika”.
Nyota huyo wa zamani wa Manchester City na Ac Milan atakosa mchezo wa leo wa ligi dhidi ya Leicester City sababu ni majeruhi.